Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

Maonyesho ya ndege za kivita Washington DMV Sept 19, 2015

  Maonyesho hayo yasiyo na kiingilio, yaliambatana na maadhimisho ya miaka 100 ya jeshi la maji nchini hapa. Maonyesho ya ndege ...


 
Maonyesho hayo yasiyo na kiingilio, yaliambatana na maadhimisho ya miaka 100 ya jeshi la maji nchini hapa.
Maonyesho ya ndege za kivita na vifaa vingine kutoka majeshi ya Marekani, yamefanyika leo na kuhudhuriwa na maelfu ya watazamaji.
 Askari miavuli wakishuka kwa aina yake
 Mmoja wa askari wa mwavuli akishuka katika ufunguzi wa maonyesho hayo
 F-22 Raptor

 F-22 a.k.a Raptor na Mustang zikifanya onyesho la pamoja
 F-22 a.k.a Raptor ikisalimu watazamaji kwa mtindo wake
 Raptor. Ndege inayoaminika kuwa "kali" zaidi katika mashambulizi duniani
 F-22 Raptor inaaminika kuwa ndege ya thamani zaidi duniani, kila moja ikigharimu takriban dola za kiMarekani milioni 150

 F-16 Thunderbirds ambazo ndizo zilikuwa onyesho kuu kwa mwaka huu zikianza maonyesho
C-5. Moja ya ndege kubwa za mizigo katika jesho la Marekani
 Mija ya injini za ndege zikiwa uwanjani kwa maonyesho
Watu wakisubiri zamu yao kupata kumbukumbu kwenye "usukani" wa ndege
Na "bodaboda" za angani nazo zilikuwepo
 F-35 Joint Strike Fighter (JSF) ni moja kati ya ndege mpya zaidi. Gharama ya kuitengeneza inakadiriwa itafikia dola za kiMarekani milioni 85 ifikapo 2018

Kujua zaidi kuhusu ndege hizi, tazama mahojiano haya hapa chini yaliyofanyika 2011.Picha kwa hisani ya Vijimambo na Kwanza Production

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: Maonyesho ya ndege za kivita Washington DMV Sept 19, 2015
Maonyesho ya ndege za kivita Washington DMV Sept 19, 2015
http://2.bp.blogspot.com/-NNN-Z0QTuBc/Vf4GYyOafZI/AAAAAAAAJnA/60zXC43yL_8/s640/IMG_6765.JPG
http://2.bp.blogspot.com/-NNN-Z0QTuBc/Vf4GYyOafZI/AAAAAAAAJnA/60zXC43yL_8/s72-c/IMG_6765.JPG
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2015/09/maonyesho-ya-ndege-za-kivita-washington.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2015/09/maonyesho-ya-ndege-za-kivita-washington.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago