Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

MAKAMU WA KWANZA WA RAIS ZANZIBAR MAALIM SEIF AKUTANA NA BALOZI WA TANZANIA NCHINI ZIMBABWE

  Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad akizungumza na Balozi wa Tanzania nchini Zimbabwe huku ofisni ...

 Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad akizungumza na Balozi wa Tanzania nchini Zimbabwe huku ofisni kwake Migombani mjini Zanzibar. Khamis Haji, OMKR
--
Khamis Haji, OMKR
Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad amesema wananchi wa Tanzania na Zimbabwe wanayo nafasi nzuri kukuza maendeleo yao iwapo fursa za kiuchumi na biashara zilizopo zitazidi kuibuliwa na kufanyiwa kazi.

Maalim Seif amesema hayo leo wakati alipokuwa na mazungumzo na Balozi wa Tanzania nchini Zimbabwe, Charles Makakala aliyefika ofisini kwake Migombani kwa ajili ya kujitambulisha baada ya kuteuliwa kushika wadhifa huo.

Makamu wa Kwanza wa Rais amesema mbali na nchi hizo kuwa na uhusiano wa kidugu, lakinia pia ni wanachama wa Umoja wa Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), hivyo malengo yao ya kiuchumi na kibiashara yanafanana. 

Amesema hivi sasa kuna Watanzania wengi wakiwemo kutoka Zanzibar wanaofanya biashara nchini Zimbabwe, kama ilivyo kwa wafanyabiashara wa Zimbabwe nchini, hivyo ni dhahiri mafanikio makubwa zaidi yatapatikana, iwapo mazingira ya kibiashara yataimarishwa zaidi.

Naye Balozi Makakala ameahidi kuwa atajitahidi kutekeleza diplomasia ya kiuchumi, na kuzidi kuibua fursa zote za kiuchumi na kibiashara kwa azma ya kuimarisha mazingira bora ya kufanya shughuli hizo kwa maslahi ya wananchi wa nchi mbili hizo.

Balozi Makakala ametuliwa kushika wadhifa huo, baada ya mtangulizi wake, Balozi Adadi Rajabu kumaliza muda wake na sasa ameingia katika harakati za kuwania nafasi ya Ubunge katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25 mwaka huu.

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: MAKAMU WA KWANZA WA RAIS ZANZIBAR MAALIM SEIF AKUTANA NA BALOZI WA TANZANIA NCHINI ZIMBABWE
MAKAMU WA KWANZA WA RAIS ZANZIBAR MAALIM SEIF AKUTANA NA BALOZI WA TANZANIA NCHINI ZIMBABWE
http://3.bp.blogspot.com/-jvOxs7vapsQ/Ve1RnnSTGoI/AAAAAAADX_Q/0y4xup1UfIE/s640/bal%2Bzimbabwe.jpg
http://3.bp.blogspot.com/-jvOxs7vapsQ/Ve1RnnSTGoI/AAAAAAADX_Q/0y4xup1UfIE/s72-c/bal%2Bzimbabwe.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2015/09/makamu-wa-kwanza-wa-rais-zanzibar.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2015/09/makamu-wa-kwanza-wa-rais-zanzibar.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago