Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imewaachia huru washtakiwa watano akiwamo Kada wa CCM, Rajabu Maranda baada ya kuwaona hawana hatia katika mashtaka sita yaliyokuwa yakiwakabili likiwamo la kujipatia Sh 5.9 bilioni kutoka Benki Kuu ya Tanzania (BoT) .

Aliyekuwa Mshitakiwa wa Kesi ya EPA ,Rajabu Maranda akitoka nje ya Mahakama ya Kisutu baada ya kuachiwa huru jijini Dar es Salaam jana...

Aliyekuwa Mshitakiwa wa Kesi ya EPA ,Rajabu Maranda akitoka nje ya Mahakama ya Kisutu baada ya kuachiwa huru jijini Dar es Salaam jana.Picha na Said Khamis  
---
Washtakiwa walioachiwa huru ni Kada wa CCM, Rajabu Maranda, mfanyabiashara Ajay Somani  na  wafanyakazi wa BoT,  Ester Komu, Bosco Kimela na Iman Mwakosya ambao walikuwa wakikabiliwa na mashtaka ya kula njama,  kughushi,  kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu, kuwasilisha nyaraka za uongo na kusababisha hasara.

 Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imewaachia huru washtakiwa watano akiwamo Kada wa CCM, Rajabu Maranda baada ya kuwaona hawana hatia katika mashtaka sita yaliyokuwa yakiwakabili likiwamo la kujipatia Sh 5.9 bilioni kutoka  Benki Kuu ya Tanzania (BoT) .

Akisoma hukumu hiyo leo kwa niaba ya jopo la mahakimu watatu wanaoisikiliza kesi hiyo, Hakimu Sundi Fimbo alisema baada ya kupitia ushahidi uliotolewa na mashahidi tisa wa upande wa mashtaka pamoja na utetezi wanawaachia huru washtakiwa hao baada ya upande wa mashtaka kushindwa kuyathibitisha mashtaka yote sita yaliyokuwa yakiwakabili pasipo kuacha shaka.

Washtakiwa walioachiwa huru ni Kada wa CCM, Rajabu Maranda, mfanyabiashara Ajay Somani  na  wafanyakazi wa BoT,  Ester Komu, Bosco Kimela na Iman Mwakosya ambao walikuwa wakikabiliwa na mashtaka ya kula njama,  kughushi,  kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu, kuwasilisha nyaraka za uongo na kusababisha hasara.

 Katika kesi hiyo Maranda na Ajay walikuwa wanakabiliwa na shtaka la kula njama na kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu, Maranda pekee kughushi,  kuwasilisha nyaraka za uongo na kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu huku wafanyakazi wa BOT, Ester Komu, Iman Mwakosya na Bosco Kimela kusababisha hasara.

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imewaachia huru washtakiwa watano akiwamo Kada wa CCM, Rajabu Maranda baada ya kuwaona hawana hatia katika mashtaka sita yaliyokuwa yakiwakabili likiwamo la kujipatia Sh 5.9 bilioni kutoka Benki Kuu ya Tanzania (BoT) .
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imewaachia huru washtakiwa watano akiwamo Kada wa CCM, Rajabu Maranda baada ya kuwaona hawana hatia katika mashtaka sita yaliyokuwa yakiwakabili likiwamo la kujipatia Sh 5.9 bilioni kutoka Benki Kuu ya Tanzania (BoT) .
http://1.bp.blogspot.com/-67lWkz7Sc2I/VeWYclwZYFI/AAAAAAADXkI/xiEolNCDf90/s640/maranda.jpg
http://1.bp.blogspot.com/-67lWkz7Sc2I/VeWYclwZYFI/AAAAAAADXkI/xiEolNCDf90/s72-c/maranda.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2015/09/mahakama-ya-hakimu-mkazi-kisutu.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2015/09/mahakama-ya-hakimu-mkazi-kisutu.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago