Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

MABADILIKO BORA NDIYO WANAINCHI WANAYOHITAJI NA SIO BORA MABADILIKO-MGOMBEA URAIS-CCM DKT JOHN MAGUFULI

 Baadhi ya Wakazi wa mji wa Musoma waliojitokeza kwa wingi wakimsikiliza  Mgombea wa Urais kupitia CCM Dkt. John Pombe Magufuli ali...


 Baadhi ya Wakazi wa mji wa Musoma waliojitokeza kwa wingi wakimsikiliza Mgombea wa Urais kupitia CCM Dkt. John Pombe Magufuli alipokuwa  akiwahutubia jioni ya  kwenye mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika kwenye uwanja wa Mkendo,Dkt Magufuli aliwaambia wananchi hao ifikapo oktoba 25 wajitokeze kwa wingi wakampigie kura kwani anataka kuwatumikia Watanzania kwa kuwaletea maendeleo.
  Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwahutubia wakazi wa Musoma mjini kwenye mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika kwenye uwanja wa Mkendo ambapo aliwaambia wananchi hao ifikapo oktoba 25 wajitokeze kwa wingi wakampigie kura kwani anataka kuwatumikia Watanzania kwa kuwaletea maendeleo.
   Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwahutubia wakazi wa Musoma mjini kwenye mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika kwenye uwanja wa Mkendo ambapo aliwaambia wananchi hao ifikapo oktoba 25 wajitokeze kwa wingi wakampigie kura kwani anataka kuwatumikia Watanzania kwa kuwaletea maendeleo. 

 Magufuli akiwahutubia wananchi wa mji wa Tarime katika mkutano wa hadhara wa Kampeni uliofanyika mjini Tarime leo ambapo Dr. Magufuli amewaomba wananchi hao kumpigia kura za ndiyo ili aweze kuingia ikulu na kuwatumikia watanzania kwa ajili ya kuleta mabadiliko bora kwa watanzania na siyo bora mabadiliko.
 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwahutubia wakazi wa Musoma mjini kwenye mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika kwenye uwanja wa Mkendo ambapo aliwaambia wananchi hao ifikapo oktoba 25 wajitokeze kwa wingi wakampigie kura kwani anataka kuwatumikia Watanzania kwa kuwaletea maendeleo.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi Dr. John Pombe Magufuli akipiga Drums Ngoma za muziki wakati alipofika Utegi wilaya ya Rolya na kufanya mkutano wa kampeni.

 Sehemu ya nyomi la watu mjini Nyamongo wilayani Tarime
 Mgombea Urais wa CCM Dkt Magufuli akishangiliwa na uati wa watu mara baada ya kuwahutubia wakazi hao mji wa Nyamongo,wilayani Tarime jioni ya leo
 Wananchi wa Tarime wakiwa wamejitokeza kwa wingi kwenye mkutano huo wa kampeni za CCM
 Jaji Mstaafu Mzee Joseph Sinde Warioba akizungumza na wananchi wa mjini Tarime wakati alipokuwa akimpigia debe Dr. John Pombe Magufuli. 
 Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi Dr. John Pombe Magufuli akisisitiza jambo wakati akitoa hotuba yake mjini Tarime.
 Sehemu ya umati w Wananchi wakifuatilia sera za Mgombea Urais wa CCM Dkt John Joseph Magufuli,alipokuwa akiomba ridhaa ya kuiongoza Tanzania katika awamu ya tano
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt John Joseph Magufuli akiwahutubia wananchi wa Tarime waliofurika kwa wingi.  
 Jukwaani napo palikuwa hapatoshi
 Wazee wa kimila wa wilaya ya Tarime wakisubiri kusalimiana na mgombea Urais wa CCM Dkt Magufuli.
 Mgombea Urais wa CCM,Dkt John Pombe Magufuli  akiwahutubia Wananchi wa Rorya katika uwanja wa Utegi
 Mgombea Urais wa CCM Dkt Magufuli akiwahutubia Wananchi wa Rorya katika uwanja wa Utegi 
 Mbwembwe za boda boda kama hivi zilikuwepo mjini Musoma
 Mgombea Urais wa CCM Dkt  Magufuli akiwasili kwenye uwanja wa Mukendo jioni ya leo,ambapo pia aliwahutubia wananchi hao 
 Kikundi cha Tot Plus kikitumbuiza jukwaani
 Wakazi wa Mji wa Musoma wakishangilia yaliyokuwa yakijiri kwenye uwanja wa Mukendo mjini Musoma jioni ya leo.
 Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki Makongoro Nyerere akihutubia mkutano wa kampeni za CCM za kumnadi Dk. John Pombe Magufuli.
 Mabango ya wafuasi wa chama cha CCM. 
 Naibu Waziri wa  Fedha Mgombea Ubunge wa Jimbo la Iramba Magharibi Mwigulu Nchemba akihutubia wakazi wa mji wa Musoma kwenye mkutano wa kampeni za kumnadi Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli.

 Sehemu ya umati wa watu waliofika kumsikiliza Mgombea Urais wa CCM Dkt Magufuli alipokuwa akiwahutubia kwenye uwanja wa Mkendo mjini Musoma jioni ya leo

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: MABADILIKO BORA NDIYO WANAINCHI WANAYOHITAJI NA SIO BORA MABADILIKO-MGOMBEA URAIS-CCM DKT JOHN MAGUFULI
MABADILIKO BORA NDIYO WANAINCHI WANAYOHITAJI NA SIO BORA MABADILIKO-MGOMBEA URAIS-CCM DKT JOHN MAGUFULI
http://2.bp.blogspot.com/-UwLK6fCowmI/VfMYWqj8AHI/AAAAAAAC-9U/RvDXxyZyNzs/s640/_MG_5213.jpg
http://2.bp.blogspot.com/-UwLK6fCowmI/VfMYWqj8AHI/AAAAAAAC-9U/RvDXxyZyNzs/s72-c/_MG_5213.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2015/09/mabadiliko-bora-ndiyo-wanainchi.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2015/09/mabadiliko-bora-ndiyo-wanainchi.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago