Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

MAANDALIZI YA TAMASHA LA KULIOMBEA TAIFA AMANI KUELEKEA UCHAGUZI MKUU YA KAMILIKA LITAFANYIKA UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR ES SALAAM, OKTOBA 4, 2015

 Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Msama Promotion ambayo inaandaa matamasha mbalimbali kama lile la Pasaka  na Chrismas , ambaye ni Mw... Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Msama Promotion ambayo inaandaa matamasha mbalimbali kama lile la Pasaka  na Chrismas , ambaye ni Mwenyekiti wa Tamasha hilo, Alex Msama, akisisitiza jambo wakati akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani), Dar es Salaam leo asubuhi kuhusu kukamilika kwa maandalizi ya Tamasha la kuliombea Taifa Amani kuelekea uchaguzi mkuu ambalo litafanyika Oktoba 4, 2015 Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam na baadaye mikoa mingine 12.
 Hapa mkutano na wanahabari ukiendelea.
Wanahabari wakisubiri kuchukua taarifa hiyo.
--
Na Dotto Mwaibale


Mwimbaji wa kimataifa wa nyimbo za injili kutoka nchini Afrika Kusini, Solly Mahlangu, amethibitisha kutumbuiza katika tamasha la kuombe amani  linalotarajiwa kufanyika Oktoba 4 katika uwanja wa Taifa 
jiji Dar es Salaam.

Hayo yamebainishwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Msama Promotion ambayo inayoandaa matamasha mbalimbali kama lile la Pasaka  na Chrismas , ambaye pia ni Mwenyekiti wa Tamasha hilo kutoka kampuni hiyo, Alex Msama wakati akizungumza na waandishi wa habari  jijini Dar es Salaam leo asubuhi kuhusu kukamilika kwa  maandalizi ya tamasha hilo sambamba na kutaja majina ya waimbaji wa nyimbo za injili wa ndani na nje ya nchi, wanaotarajiwa kutumbuiza katika tamasha hilo linalolenga kuombea nchi amani  hususani uchaguzi mkuu wa mwezi Oktoba 25 mwaka huu.


''Maandalizi ya tamasha hilo yamekamilika na baadhi ya waimbaji wa nyimbo za injili tayari wamethibitisha kushiriki ambao ni  Solly Mahlangu, Kundi la Kelechi kutoka  nchini Uingereza nalo  pia limethibitisha kuja kutumbuiza katika tamasha hilo.''. alisema Msama. 

Msama amewataja Waimbaji wengine kutoka nje ya nchi ambao  wamekwisha kuthibitisha kuja kutoa burudani katika tamasha hilo  ni Sarah Kei na Solomoni Mukubwa kutoka nchini Kenya.

''Waimbaji wa ndani waliokwisha kuthibitisha kutumbuiza katika tamasha hilo la kuombea amani ni pamoja na Boniface Mwaitege,Rose Mhando,Upendo Nkone,Upendo Kilahiro, John Lissu,Christopher Mwangila,kwaya ya Uinjilisti Kijitonyama na kwaya moja kutoka mkoani Iringa'', alisema  Msama.

Kwa mujibu wa Msama, tamasha hilo linalotarajiwa kuzunguka katika mikoa kumi na mbili ya Tanzania 
Bara, limelenga kuhubiri na kuiombea nchi amani,Upendo na mshikamano wakati na baada ya uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika kote nchini Oktoba 25 mwaka huu na kuiiniza madarakani serikali ya awamu ya tano. 


(Imeandaliwa na mtandao wa www.habari za jamii.com-simu namba 0712-727062)

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: MAANDALIZI YA TAMASHA LA KULIOMBEA TAIFA AMANI KUELEKEA UCHAGUZI MKUU YA KAMILIKA LITAFANYIKA UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR ES SALAAM, OKTOBA 4, 2015
MAANDALIZI YA TAMASHA LA KULIOMBEA TAIFA AMANI KUELEKEA UCHAGUZI MKUU YA KAMILIKA LITAFANYIKA UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR ES SALAAM, OKTOBA 4, 2015
http://2.bp.blogspot.com/-TtdMOLWdlyE/VfVPMVx9kQI/AAAAAAAATAg/44ZypmYoiNU/s640/1.JPG
http://2.bp.blogspot.com/-TtdMOLWdlyE/VfVPMVx9kQI/AAAAAAAATAg/44ZypmYoiNU/s72-c/1.JPG
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2015/09/maandalizi-ya-tamasha-la-kuliombea.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2015/09/maandalizi-ya-tamasha-la-kuliombea.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago