Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

KAMPENI YA MGOMBEA MWENZA CCM MAMA SAMIA SULUHU HASSAN KATIKA JIMBO LA KIBAMBA

 Wananchi wakimshangilia mgombea mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM,Mama Samia Suhlu Hassan alipowasili kwenye mkutano wa kampeni uliofan...

 Wananchi wakimshangilia mgombea mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM,Mama Samia Suhlu Hassan alipowasili kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye viwanja vya Mbezi Centre,  jimbo la Kibamba wilaya ya Kinondoni, Dar es Salaam.
 Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ua CCM, Mama Samia Suluhu, akiwasalimia wananchi, alipowasili kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika leo kwenye Vwanja vya Mbezi Centre, jimbo la Kibamba, Dar es Salaam.
 Mgombea mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM Mama Samia, akiwa tayari kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika leo Viwanja vya Mbezi Centre, jimbo la Kibamba wilayani Kinondoni mkoani Dar es Salaam,  Kulia ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dar es Salaam, Ramadhani Madabida na kushoto ni Mgombea Ubunge kwa tiketi ya CCm jimbo la Kibamba Dk. Fenela Mkangara.
  Wananchi wakimshangilia mgombea mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM,Mama Samia Suhlu Hassan alipowasili kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye viwanja vya Mbezi Centre,  jimbo la Kibamba wilaya ya Kinondoni, Dar es Salaam.
 Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Kinondoni, Salum Madenge akishangaa umati wa wananchi waliofurika kwenye viwanja vya Mbezi Centre, jimbo la Kibamba, wakati wa mkutano wa kampeni wa mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM uliofanyika katika wilaya hiyo leo.
Msanii wa Muziki wa kizazi kipya, Lina Sanga akionyesha manjonjo yake alipotumbuiza katika mkutano wa kampeni wa Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia uliofanyika viwanja vya Mbezi Centre, Dar es Salaam, leo
 Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yussuf Mwenda akiwahutubia wananchi katika mkutano wa Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Dk. John Magufuli, uliofanyika leo kwenye viwanja vya Mbezi Centre, jimbo la Kibamba wilayani humo.
 Mjumbe wa Kamati ya Kampeni za Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan, Angela kairuki, akihutubia umati wa wananchi katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo kwenye viwanja vya Mbezi Centre, jimbo la Kibamba, wilayani Kinondoni, Dar es Salaam.
 Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia, akimwelekeza jambo, Mbunge wa Afrika Mashariki Angela Kizigha, wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika leo kwenye viwanja vya Mbezi Centre jimbo la Kibamba Dar es Salaam. Kushoto ni Mgombea Ubunge jimbo la Kibamba Dk. Fenela Mkangara
 Wasanii wa bendi ya Yamoto, wakishambulia jukwaa, wakati wa mkutano wa kampeni za Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia, katika mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika leo kwenye viwanja vya Mbezi Centre, Kibamba jijini Dar es Salaam
 Mama Salia akiwatuza wasanii wa bendi hiyo
 Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassani akihutuba mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika viwanja vya Mbezi Centre, jimbo la Kibamba Dar es Salaam
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan, akimnadi mgombea Ubunge jimbo la Kibamba, Dk. Fenella Mkangara katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo kwenye viwanja vya Mbezi Centre, jimboni humo leo. PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: KAMPENI YA MGOMBEA MWENZA CCM MAMA SAMIA SULUHU HASSAN KATIKA JIMBO LA KIBAMBA
KAMPENI YA MGOMBEA MWENZA CCM MAMA SAMIA SULUHU HASSAN KATIKA JIMBO LA KIBAMBA
http://2.bp.blogspot.com/-5TKPCZ7dPOk/Velpd8H0H_I/AAAAAAAAyiI/5GeZS-xnwBo/s640/DSC_0070.jpg
http://2.bp.blogspot.com/-5TKPCZ7dPOk/Velpd8H0H_I/AAAAAAAAyiI/5GeZS-xnwBo/s72-c/DSC_0070.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2015/09/kampeni-ya-mgombea-mwenza-ccm-mama.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2015/09/kampeni-ya-mgombea-mwenza-ccm-mama.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago