Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

HAPA KAZI TU YA MAGUFULI YAMFIKISHA MGOMBEA MWENZA-CCM MAMA SAMIA MAJIMBO YA UBUNGO, KINONDONI NA KAWE

 Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akihutubia umati wa wananchi katika mkutano wake wa kampeni...


 Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akihutubia umati wa wananchi katika mkutano wake wa kampeni aliofanya leo katika eneo la Msasani jimbo la Kawe jijini Dar es Salaam.
 Wananchi wakimshangilia mgombea ,wenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, alipohutubia mkutano wa kampeni katika jimbo la Kawe jijini Dar es Salaam, leo
 Mgobea Ubunge jimbo la Mtera na Mjume wa NEC, Livingstone Lusinde akihutubia mkutano wa kampni w Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, uliofanyika leo sasani jimbola Kawe jijini Dar es Salaam.
 Mdhanini wa mali za Chama Cha Mapinduzi (CCM) Anna Abdallah, akihutubia mkutano wa kampeni wa mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, uliofanyika jimbo la Kawe Dar es Salaam.
 Lusinde akizungumza na Mbunge wa Afrika Mashariki Angela Kizigha, wakati wa mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika leo katika jimbo la Kawe jijini Dar es Salam
 Aliyekuwa Spika wa Bunge la Katiba, Samwel Sitta akihutubia mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika leo katika jimbo la Kawe jijini Dar es Salaam
 Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia suluhu Hassan akiwa na Mzee Sitta na Mgombea Ubunge jimbo la Kawe wa tikati ya CCM, Kippi Warioba, wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyikaleo katika jimbo hilo jijini Dar es Salaam, leo
 Vijana wa CCM, wakionyesha furaha zao, wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo la Ubungo jijini Dar es Salaam.
 Wananchi wakiwa kwenye mkutano wa kampeni ulifanyika leo katika jimbo la Ubungo jijini Dar es Salaam.
 Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akihutubia mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo la Ubungo jijini Dar es Salaam leo
 Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu, akimnadi Mgombea Ubunge jimbo la Ubungo, Dk. Didas Masaburi, katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo hilo jijini Dar es Salaam.
 Mgombea Ubunge jimbo la Ubungo Dk. Didas Masaburi akiomba kura kwa wananchi wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo hilo jijini Dar es Salaam.
 Vijana wa hamasa wakiwa katika shamrashamra wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo la Kinondoni Jijini Dar es Salaam
 Mgombea Ubunge jimbo la Kinondoni, Iddi Azan akiomba kura wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo hilo jijini Dar es Salaam
 Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia akimwelekeza jambo Mgombea Ubunge kwa tiketi ya CCm katika Jimbo la Kinondoni, Iddi Azan katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo hilo jijini Dar es Salaam.
 Wananchi wakimshangilia Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia alipohutubia mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo la Kinondoni Dar es Salaam
 Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia akihutubia mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo la Kinondoni Dar es Salaam
 Mkuu wa wilaya ya Kinondoni, akihutubia mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika leo katika jimbo la Kinondoni Dar es Salaam
 Mgombea mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia akiwaaga wananchi baada ya kuhutubia mkutano wa kampeni katika jimbo la Kinondoni Dar es Salaam
Wananchi wakimuaga Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Damia Suluhu Hassan baada ya mkutano wa kampeni uliofanyika leo kwenye Viwanja vya Kwa Kopa, Mwananyamala, jimbo la Kinondoni jijini Dar es Salaam. PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: HAPA KAZI TU YA MAGUFULI YAMFIKISHA MGOMBEA MWENZA-CCM MAMA SAMIA MAJIMBO YA UBUNGO, KINONDONI NA KAWE
HAPA KAZI TU YA MAGUFULI YAMFIKISHA MGOMBEA MWENZA-CCM MAMA SAMIA MAJIMBO YA UBUNGO, KINONDONI NA KAWE
http://3.bp.blogspot.com/-aq84V7HlBnE/Vep1qJys-jI/AAAAAAAAyjY/2m9_lYJRNaM/s640/1.jpg
http://3.bp.blogspot.com/-aq84V7HlBnE/Vep1qJys-jI/AAAAAAAAyjY/2m9_lYJRNaM/s72-c/1.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2015/09/hapa-kazi-tu-ya-magufuli-yamfikisha.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2015/09/hapa-kazi-tu-ya-magufuli-yamfikisha.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago