Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

DKT FENELA MUKANGARA KUPAMBANA NA KERO YA MAJI KATIKA JIMBO LA KIBAMBA

na mwandishi wetu jimmy kagaruki,dar Mgombea ubunge kwa tiketi ya chama cha mapinduzi (CCM) DKT FENELA MUKANGARA amesema atashir...

na mwandishi wetu jimmy kagaruki,dar

Mgombea ubunge kwa tiketi ya chama cha mapinduzi (CCM) DKT FENELA MUKANGARA amesema atashirikiana na wananchi wa jimbo la kibamba kupambana na kero ya maji kwenye jimbo hilo.

Akizungumza  na nuru fm MUKANGARA amesema licha ya mikakati ya serikali ya kupambana na kero ya maji kwa wakazi wa jiji la dar-es-salaam na jimbo la kibamba kwa ujumla bado kuna upungufu wa maji kwa wakazi hao.

Ametaja sababu za upungufu huo wa maji kuwa ni pamoja na baadhi ya wananchi wasio waaminifu kujiunganishia mitandao ya maji kiholela kwa ajili ya biashara na uchakavu wa mabomba kutoka mtambo mkubwa wa maji wa ruvu juu.

MUKANGARA ameongeza kusema kuwa suala la wananchi wote kufikishiwa maji majumbani litachukua muda na hivyo kusisitiza nguvu ya pamoja itumike kutoka serikalini na wadau wa sekta ya maji na wafadhili kushirikiana kuchimba visima virefu na vifupi ili kukabiliana na kero hiyo.

Aidha kutokana na umuhimu wa maji, MUKANGARA ametoa rai kwa wananchi wa jimbo la kibamba kutoa taarifa kwenye mamlaka husika dhidi ya wale wote wanaohujumu miundo mbinu ya maji ili hatua kali za kisheria zichukuliwe dhidi yao.

MWISHO.

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: DKT FENELA MUKANGARA KUPAMBANA NA KERO YA MAJI KATIKA JIMBO LA KIBAMBA
DKT FENELA MUKANGARA KUPAMBANA NA KERO YA MAJI KATIKA JIMBO LA KIBAMBA
http://4.bp.blogspot.com/-gLr5Uoetqu8/VgomLBPn8dI/AAAAAAAAAT4/ezs2Ilp6K0Q/s640/photo.JPG
http://4.bp.blogspot.com/-gLr5Uoetqu8/VgomLBPn8dI/AAAAAAAAAT4/ezs2Ilp6K0Q/s72-c/photo.JPG
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2015/09/dkt-fenela-mukangara-kupambana-na-kero.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2015/09/dkt-fenela-mukangara-kupambana-na-kero.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago