Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata) leo limemchagua Sheikh Abubakary Zubeiry bin Ally kuwa Mufti Mkuu wa Tanzania.

Mufti Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abubakary Zubeiry bin Ally. Picha ya Maktaba.  --- Kwa ufupi Katika uchaguzi huo uliofanyika...


Mufti Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abubakary Zubeiry bin Ally. Picha ya Maktaba. 
---
Katika uchaguzi huo uliofanyika leo kwenye Ukumbi wa Africa Dream mjini Dodoma, Tume ya Dini ya Kiislamu imemchagua Sheikh Zubeiry kwa kura 310 za ndiyo baada ya kuingia kwenye uchaguzi huo akiwa mgombea pekee.

By Louis Kolumbia, Mwananchi Digital
Dar. Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata) leo limemchagua Sheikh Abubakary Zubeiry bin Ally  kuwa Mufti Mkuu wa Tanzania.

Katika uchaguzi huo uliofanyika leo kwenye Ukumbi wa Africa Dream mjini Dodoma, Tume ya Dini ya Kiislamu imemchagua Sheikh Zubeiry kwa kura 310 za ndiyo baada ya kuingia kwenye uchaguzi huo akiwa mgombea pekee.

Akitangaza matokeo hayo, Mwenyekiti mstaafu wa Halmashauri Kuu ya Bakwata, Alhaji Habib Ndassiwa alisema majina mawili yaliyotoka kwenye Baraza la Ulamaa yalikuwa ni ya Sheikh Ally Muhidini Mkoyogole na Sheikh Zubeiry.

Hata hivyo Sheikh Mkoyogole alijitoa na hivyo kumuacha Sheikh Zebeiry kuwa mgombea pekee.
Mufti Zubeiry aliteuliwa kukaimu nafasi hiyo ya juu katika dini ya Kiislamu mnamo Juni 22 mwaka huu baada ya kifo cha Mufti Issa Shaaban Simba kilichotokea katika Hospitali ya TMJ jijini Dar es Salaam alikokuwa amelazwa kwa matibabu.

Alitakiwa kushikilia nafasi hiyo kwa muda wa miezi mitatu (Siku Tisini) hadi Septemba mwaka huu kabla ya kufanyika kwa uchaguzi mkuu wa kujaza nafasi hiyo.

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata) leo limemchagua Sheikh Abubakary Zubeiry bin Ally kuwa Mufti Mkuu wa Tanzania.
Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata) leo limemchagua Sheikh Abubakary Zubeiry bin Ally kuwa Mufti Mkuu wa Tanzania.
http://3.bp.blogspot.com/-_BvZeY3CN-Y/VfGO9TKQ4OI/AAAAAAADYK8/8MxBoMxxYSk/s640/sheikh%252Bzubery.jpg
http://3.bp.blogspot.com/-_BvZeY3CN-Y/VfGO9TKQ4OI/AAAAAAADYK8/8MxBoMxxYSk/s72-c/sheikh%252Bzubery.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2015/09/baraza-kuu-la-waislamu-tanzania-bakwata.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2015/09/baraza-kuu-la-waislamu-tanzania-bakwata.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago