Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

ALIYE KUWA DIWANI WA KATA YA KIPAWA BONAH KALUWA AFUNGUA KAMPENI DHIDI YA UKATILI WA JINSIA KATIKA SOKO LA TABATA MUSLIM DAR ES SALAAM LEO

 Mwanaharakati wa kutetea wanawake na mgombea Ubunge wa Jimbo la Segerea kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bonah Kaluwa (kulia), akizu...


 Mwanaharakati wa kutetea wanawake na mgombea Ubunge wa Jimbo la Segerea kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bonah Kaluwa (kulia), akizungumza na wanawake wakati akifungua kampeni ya kupinga ukatili wa jinsia dhidi ya wanawake katika Soko la Tabata Muslim lililopo mtaa wa Msimbazi,  Dar es Salaam leo. Kutoka kushoto ni Mjumbe wa mtaa huo, Tatu Lazaro na Mwenyekiti wa mtaa huo, Beatries Mkama.
Wanafunzi na wakazi wa Tabata Muslim wakiwa kwenye mkutano huo.
Meza kuu inavyoonekana katika ufunguzi wa kampeni hiyo.
Mgeni Rasmi Bonah Kaluwa akiwa meza Kuu.
Mgeni rasmi katika picha ya pamoja na wadau wapinga ukatili wa kijinsia masokoni.
Mgeni rasmi Bonah Kaluwa akiwa katika picha ya pamoja na wanawake wapinga ukatili wa kijinsia wa Tabata Muslim.
Mgeni rasm akiondoka eneo la mkutano.
Wasanii wa kundi la Machozi wakitpoa burudani katika uzinduzi huo.
Maofisa wa Shirika la Equality for Growth (EfG), wakiwahamasisha wananchi kujaza fomu za kuwa mabalozi wa kampeni ya kupinga ukatili wa kijinsia dhidi ya wanawake masokoni. 

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: ALIYE KUWA DIWANI WA KATA YA KIPAWA BONAH KALUWA AFUNGUA KAMPENI DHIDI YA UKATILI WA JINSIA KATIKA SOKO LA TABATA MUSLIM DAR ES SALAAM LEO
ALIYE KUWA DIWANI WA KATA YA KIPAWA BONAH KALUWA AFUNGUA KAMPENI DHIDI YA UKATILI WA JINSIA KATIKA SOKO LA TABATA MUSLIM DAR ES SALAAM LEO
http://1.bp.blogspot.com/-HHxO82Dr_nk/Vfamz4XsU5I/AAAAAAAATBE/vUZulihpb-A/s640/1.JPG
http://1.bp.blogspot.com/-HHxO82Dr_nk/Vfamz4XsU5I/AAAAAAAATBE/vUZulihpb-A/s72-c/1.JPG
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2015/09/aliye-kuwa-diwani-wa-kata-ya-kipawa.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2015/09/aliye-kuwa-diwani-wa-kata-ya-kipawa.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago