Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan ahutubia mkutano wa kampeni Ikwiriri, Rufiji mkoa wa Pwani.

  Bibi Mwanahawa Saidi akitangaza kuhama CUF kurejea CCM, wakati wa mkutano wa kampeni wa Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mam...

 Bibi Mwanahawa Saidi akitangaza kuhama CUF kurejea CCM, wakati wa mkutano wa kampeni wa Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan uliofanyika septemba 12, 2015, Ikwiriri Rufiji mkoawa Pwani.
 Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akionyesha kadi za CUF na Chadema, alizopokea kutoka kwa wanachama wa vyama hivyo waliohamia CCM katika mkutano wa kampeni uliofanyika Ikwiriri, Rufiji mkoa wa Pwani, Septemba 12, 2015.
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akihutubia mkutano wa kampeni uliofanyika Septemba 12, 2015, Ikwiriri, Rufiji mkoa wa Pwani.
 Maelfu ya wananchi wakiwa wamefurika katika mkutano wa kampeni wa CCM, uliofanyika septemba 12, 2015, Ikwiriri, Rufiji mkoa wa Pwani.
Aliyekuwa mgombea Ubunge jimbo la Rufiji Dk. Seleman Rashid akiteta jambo na aliyekuwa mgombea Ubunge jimbo la Mkuranga Adam Malima, wakati wa mkutano wa kampeni uliofanywa na Mama Samia katika jimbo la Rufiji septemba 12, 2015.
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mgombea Ubunge jimbo la Rufiji Mohammed Mchengerwa wakati wa mkutan wa kampeni uliofanyika Sepemba 12, 2015 katika jimbo hilo.
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akijadiliana jambo ma Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hasaan alipowasili kufanya mkutano wa kampeni jimbo la Kilwa Kaskazini Septemba 12, 2015. Nape pia ni Mgombea wa Ubunge jimbo la Mtama mkoa wa Lindi.
7. Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassani akimsalimia Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye alipowasili mpakani mwa mkoa wa Pwani na Lindi wakti akiwasili wilaya ya Kilwa mkoani Lindi, Septemba 12, 2015. Nape pia ni Mgombea wa Ubunge jimbo la Mtama mkoani Lindi.Picha zote na Bashir Nkoromo

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan ahutubia mkutano wa kampeni Ikwiriri, Rufiji mkoa wa Pwani.
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan ahutubia mkutano wa kampeni Ikwiriri, Rufiji mkoa wa Pwani.
http://4.bp.blogspot.com/-y_9fe_Qa9II/VfWKQaSJ3bI/AAAAAAADYY0/SHSwDItTADA/s640/3.jpg
http://4.bp.blogspot.com/-y_9fe_Qa9II/VfWKQaSJ3bI/AAAAAAADYY0/SHSwDItTADA/s72-c/3.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2015/09/6-mgombea-mwenza-wa-urais-kwa-tiketi-ya.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2015/09/6-mgombea-mwenza-wa-urais-kwa-tiketi-ya.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago