Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

Picha Kutoka IKULU:Rais Jakaya Kikwete Aweka Jiwe la Msingi Ujenzi wa National Defence Headquarters Lugalo Jijini Dar es Salaam Leo.

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Waziri wa Ulinzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi muda mfupi baada ya kuwasili eneo la Lugalo ku...

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Waziri wa Ulinzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi muda mfupi baada ya kuwasili eneo la Lugalo kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa National Defence Headquarters.
 Mkuu wa Majeshi ya ulinzi Jenerali Davis Mwamunyange akimkaribisha Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete katika hafla ya kuweka jiwe la Msingi la ujenzi wa National Defence Headquarters huko Lugalo jijini Dar es Salaam leo.
 Amiri Jeshi Mkuu Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifungua kitambaa wakati wa uwekaji jiwe la msingi la Ujenzi wa National Defence Headquarters huko Lugalo jijini Dar es Salaam leo.Kushoto ni Mkuu wa majeshi ya Ulinzi  Jenerali Davis Mwamunyange,Watatu Kushoto ni Waziri wa Ulinzi Dkt.Huessein Ali Mwinyi na kulia ni Bwana Hu mwakiklkishi wa kampuni ya ujenzi kutoka China.
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Davis Mwamunyange akimuonyesha Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete mchoro wa majengo ya Makao Makuu ya Ulinzi yatakayojengwa eneo la Lugalo jijini Dar es Salaam leo.Wapili kushoto ni Mke wa Rais Mama Salma Kikwete.
 Amiri Jeshi Mkuu Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia Makamanda wa Jeshi la Ulinzi wakati wa uwekaji Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Makao Makuu ya Ulinzi.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiteta jambo na mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Davis Mwamunyange wakati wa Uwekaji Jiwe la Msingi la Ujenzi wa National Defence Headquarters Lugalo jijini Dar es Salaam leo.Picha na Freddy Maro-IKULU

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: Picha Kutoka IKULU:Rais Jakaya Kikwete Aweka Jiwe la Msingi Ujenzi wa National Defence Headquarters Lugalo Jijini Dar es Salaam Leo.
Picha Kutoka IKULU:Rais Jakaya Kikwete Aweka Jiwe la Msingi Ujenzi wa National Defence Headquarters Lugalo Jijini Dar es Salaam Leo.
http://2.bp.blogspot.com/-CqFfH4dM-IQ/VeRyOrDKTQI/AAAAAAADXhE/8_XM0J5gpuo/s640/H1.jpg
http://2.bp.blogspot.com/-CqFfH4dM-IQ/VeRyOrDKTQI/AAAAAAADXhE/8_XM0J5gpuo/s72-c/H1.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2015/08/picha-kutoka-ikulurais-jakaya-kikwete_31.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2015/08/picha-kutoka-ikulurais-jakaya-kikwete_31.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago