Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

PICHA KUTOKA IKULU-ZANZIBAR:RAIS WA ZANZIBAR NA MAKAMU MWENYEKITI WA CCM ZANZIBAR DR ALI SHEIN AONGOZA KIKAO CHA KAMATI MAALUM CCM ZANZIBAR LEO

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongoz...

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi wa CCM wakati alipowasili katika viwanja vya Ofisi ya CCM Kisiwandui Mjini Uguja kuhudhuria katika Kikao cha Siku moja cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) Zanzibar kilichofanyika leo katika ukumbi Ofisi hiyo Mjini Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai wakiimba Wimbo wa Chama cha Mapinduzi kabla ya kuanza kikao cha siku moja cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) Zanzibarkilichofanyika leo katika ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja,

Wajumbe wa Kikao cha   Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) Zanzibar wakimkaribisha kwa makofi na kuimba wimbo wa Chama wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein,alipoingia katika ukumbi wa Kikao hicho kilichofanyika leo  Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja,
Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai  akitoa taarifa kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein kabla ya kuanza kikao cha siku moja cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) Zanzibar kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akiendesha kikao cha siku moja cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) Zanzibar kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja (kulia) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akiteta jambo na  Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai  kabla ya kuanza kikao cha siku moja cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) Zanzibar kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja.
Wajumbe wa Sekteratieti ya Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) Zanzibar wakiwa katika kikao cha Siku moja chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein katika ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja leo,
Baadhi ya wajumbe wa Kikao cha siku moja cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) Zanzibar wakipitia makabrasha ya  kikao hicho kabla ya kuanza leo katika ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein
Wajumbe wa Kikao cha siku moja cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) Zanzibar wakimsikiliza Mwenyekiti wa  kikao  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein,kilichofanyika katika ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja.Picha na IKULU-Zanzibar

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: PICHA KUTOKA IKULU-ZANZIBAR:RAIS WA ZANZIBAR NA MAKAMU MWENYEKITI WA CCM ZANZIBAR DR ALI SHEIN AONGOZA KIKAO CHA KAMATI MAALUM CCM ZANZIBAR LEO
PICHA KUTOKA IKULU-ZANZIBAR:RAIS WA ZANZIBAR NA MAKAMU MWENYEKITI WA CCM ZANZIBAR DR ALI SHEIN AONGOZA KIKAO CHA KAMATI MAALUM CCM ZANZIBAR LEO
http://1.bp.blogspot.com/-j8gQc3Sf0cw/VeMCnwrJUkI/AAAAAAADXW4/pBFsCyk3yg8/s640/x19%2B%25281%2529.jpg
http://1.bp.blogspot.com/-j8gQc3Sf0cw/VeMCnwrJUkI/AAAAAAADXW4/pBFsCyk3yg8/s72-c/x19%2B%25281%2529.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2015/08/picha-kutoka-ikulu-zanzibarrais-wa.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2015/08/picha-kutoka-ikulu-zanzibarrais-wa.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago