Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

Taswira na Video:Katibu wa Jumuiya ya Kiislamu nchini , Shekhe Ponda Issa Ponda Awasili Hospitali ya Taifa ya Muhimbili Kitengo Cha MOI Jijini Dar es Salaam Mchana Huu Baada ya Kujeruhiwa Kitu Chenye Ncha Kali Kwenye Bega Lake la Kulia Wakati Akiekelea Katika Msikiti wa Mungu Mmoja Dini Moja wa Mjini Morogoro Baada ya Kumalizika Kwa Kongamano ya Dini ya Kiislamu Jana

Picha ya juu Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kiislamu nchini , Shekhe Ponda Issa Ponda,akipata matibabu  jana muda mfupi baada ya kuumiz...

Picha ya juu Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kiislamu nchini , Shekhe Ponda Issa Ponda,akipata matibabu  jana muda mfupi baada ya kuumizwa na kitu chenye ncha kali kwenye bega lake la kulia wakati akiekelea katika Msikiti wa Mungu Mmoja Dini Moja wa Mjini Morogoro baada ya kumalizika kwa kongamano ya Dini ya Kiislamu jana Mkasa huo ulitokea janamajira ya saa 12: 15 za jioni eneo la barabara ya Tumbaku karibu na Fire, mara baada ya kumaliza kwa Kongamano la Kiislamu lililofanyika kwenye uwanja wa Shule ya Msingi Kiwanja Cha Ndege, Kata ya Saba Saba , Manispaa ya Morogoro.Picha ya chini baada ya kwanza juu akiwa hospitali ya taifa ya muhimbili mchana huu kwa ajili ya matibabu
 KATIBU wa Jumuiya ya Kiislamu nchini , Shekhe Ponda Issa Ponda akiwa anaingizwa katika chumba cha matibabu hospitali ya taifa ya muhimbili -MOI leo mchana, baada ya kupokelewa katika Hospitali ya muhimbili.Picha na Mdau S Magambo na  Imma Mbunguni

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: Taswira na Video:Katibu wa Jumuiya ya Kiislamu nchini , Shekhe Ponda Issa Ponda Awasili Hospitali ya Taifa ya Muhimbili Kitengo Cha MOI Jijini Dar es Salaam Mchana Huu Baada ya Kujeruhiwa Kitu Chenye Ncha Kali Kwenye Bega Lake la Kulia Wakati Akiekelea Katika Msikiti wa Mungu Mmoja Dini Moja wa Mjini Morogoro Baada ya Kumalizika Kwa Kongamano ya Dini ya Kiislamu Jana
Taswira na Video:Katibu wa Jumuiya ya Kiislamu nchini , Shekhe Ponda Issa Ponda Awasili Hospitali ya Taifa ya Muhimbili Kitengo Cha MOI Jijini Dar es Salaam Mchana Huu Baada ya Kujeruhiwa Kitu Chenye Ncha Kali Kwenye Bega Lake la Kulia Wakati Akiekelea Katika Msikiti wa Mungu Mmoja Dini Moja wa Mjini Morogoro Baada ya Kumalizika Kwa Kongamano ya Dini ya Kiislamu Jana
http://3.bp.blogspot.com/-5gGojCkxlKE/UgeLdJD-P_I/AAAAAAACZHU/nPndmO5oKoY/s1600/image.png
http://3.bp.blogspot.com/-5gGojCkxlKE/UgeLdJD-P_I/AAAAAAACZHU/nPndmO5oKoY/s72-c/image.png
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2013/08/taswira-na-videokatibu-wa-jumuiya-ya.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2013/08/taswira-na-videokatibu-wa-jumuiya-ya.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago