Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

TASWIRA KUTOKA WIZARA YA MAMBO YA NDANI:WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI DR EMMANUEL NCHIMBI AAHIDI SERIKALI KUIMARISHA ULINZI NA USALAMA NCHINI

 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Dk. Emmanuel Nchimbi akizungumza na mmojawapo wa Wawakilishi wa nchi za Umoja wa Ulaya waliofanya ...

 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Dk. Emmanuel Nchimbi akizungumza na mmojawapo wa Wawakilishi wa nchi za Umoja wa Ulaya waliofanya kikao naye jijini Dar es Salaam  Katikati ni Mkuu wa Jeshi la Polisi IJP Said Mwema.
 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Dk. Emmanuel Nchimbi katika Kikao na Wawakilishi wa Nchi za Umoja wa Ulaya waliomtembelea Wizarani..  Kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mbarak Abdulwakil.
Mkuu wa Jeshi la Polisi IJP Said Mwema pia alihudhuria Kikao hicho akiwa na Wakuu wa Polisi, Kanda Maalum ya Dar es Salaam (Kushoto).Picha zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
---
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk. Emmanuel nchimbi amesema Serikali imeimarisha shughuli za ulinzi hapa nchini ili kuhakikisha kuwa wananchi na wageni wanaishi na kufanya shughuli zao kwa amani.

Dk. Nchimbi ameyasema hayo leo jijini Dar es Salaam alipokutana na Ujumbe wa wawakilishi wa nchi za Umoja wa Ulaya (EU) na baadhi ya mabalozi wa Nchi hizo waliopo hapa nchini.
Aliuambia ujumbe huo ulioongozwa na Balozi Filberto Cerani Sebregondi kuwa Jeshi la Polisi limeweka mikakati mbalimbali ya kukabiliana na vitendo vya uhalifu katika jiji la Dar es Salaam na maeneo mengine ya nchi.

Amesema kwa upande wa raia wa kigeni, Jeshi hilo limeanzisha Dawati Maalumu litakalohudumia raia hao pale wanapopata matatizo ili waweze kupata huduma za haraka.

Kwa upande wake, Kiongozi wa Ujumbe huo  amesema Umoja huo utaendelea kushirikiana na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi na ameishukuru Wizara hiyo kwa jitihada inazoendelea kuchukua kuhakikisha ulinzi na usalama unaimarishwa kwa wageni na raia.

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: TASWIRA KUTOKA WIZARA YA MAMBO YA NDANI:WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI DR EMMANUEL NCHIMBI AAHIDI SERIKALI KUIMARISHA ULINZI NA USALAMA NCHINI
TASWIRA KUTOKA WIZARA YA MAMBO YA NDANI:WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI DR EMMANUEL NCHIMBI AAHIDI SERIKALI KUIMARISHA ULINZI NA USALAMA NCHINI
http://4.bp.blogspot.com/-IXrX3oZ6pNk/UaSqy_XGtkI/AAAAAAACRyU/4FEo35sI8Sg/s640/Pix+3.JPG
http://4.bp.blogspot.com/-IXrX3oZ6pNk/UaSqy_XGtkI/AAAAAAACRyU/4FEo35sI8Sg/s72-c/Pix+3.JPG
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2013/05/taswira-kutoka-wizara-ya-mambo-ya.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2013/05/taswira-kutoka-wizara-ya-mambo-ya.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago