Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

MSAFARA WA MKUU WA WILAYA YA HANDENI MUHINGO RWEYEMAMU WAPAPATA AJALI,WAWILI WAPOTEZA MAISHA NA WENGINE WAJERUHIWA VIBAYA.

Mkuu wa wilaya Handeni, Muhingo Rweyemamu ---  Ajali hiyo imehusisha gari la Halmashauri ya wilaya ya Handeni ambapo watu wawil...

Mkuu wa wilaya Handeni, Muhingo Rweyemamu
--- 
Ajali hiyo imehusisha gari la Halmashauri ya wilaya ya Handeni ambapo watu wawili wamefariki akiwemo mwandishi wa Habari Hamis Bwanga na Afisa uhamiaji wa wilaya. 

Watu wanne wamejeruhiwa katika ajali hiyo iliyotokea majira ya saa 4.30 leo asubuhi katika kijiji cha Misima kweye barabara ya Handeni Korogwe wakiwa kwenye msafara wa kikazi kwenda vijijini kwaajili ya shughuli za upandaji wa miti kiwilaya. 

Mkuu wa wilaya ya Handeni Muhingo Rweyemamu amesema msafara huo ulikuwa na magari matatu ikiwemo ya kwake ambayo haijapata ajali.

Amesema gari hiyo ya halmashauri imepinduka baada ya kuacha njia na kwenda kama mita mia ambapo iliparamia jiwe na imeharibika vibaya. Kwa mujibu wa maelezo yake taarifa zaidi zitapatikana baadae kwani kwa sasa kinachofanyika ni kuwahudumia majeruhi ambao wanakimbizwa katika hospitali ya rufaa ya KCMC Moshi mkoani Kilimanjaro na pia kushughulikia miili ya marehemu.

Habari hii na Mdau Vedasto Mwamsungu.

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: MSAFARA WA MKUU WA WILAYA YA HANDENI MUHINGO RWEYEMAMU WAPAPATA AJALI,WAWILI WAPOTEZA MAISHA NA WENGINE WAJERUHIWA VIBAYA.
MSAFARA WA MKUU WA WILAYA YA HANDENI MUHINGO RWEYEMAMU WAPAPATA AJALI,WAWILI WAPOTEZA MAISHA NA WENGINE WAJERUHIWA VIBAYA.
http://3.bp.blogspot.com/-BR63IfXCbqg/UWa-4vHkqYI/AAAAAAACNC0/6Es2MDwLkLk/s640/Mkuu+wa+wilaya+Handeni,+Muhingo+Rweyemamu.jpg
http://3.bp.blogspot.com/-BR63IfXCbqg/UWa-4vHkqYI/AAAAAAACNC0/6Es2MDwLkLk/s72-c/Mkuu+wa+wilaya+Handeni,+Muhingo+Rweyemamu.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2013/04/msafara-wa-mkuu-wa-wilaya-ya-handeni.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2013/04/msafara-wa-mkuu-wa-wilaya-ya-handeni.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago