Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

IKULU:Rais Jakaya Kikwete,Makamu wa Rais Dk Gharib Bilal,Waziri Mkuu Mizengo Pinda Waongoza Waombolezaji Kuaga Mwili wa Hayati Jackson Makwetta Jijini Dar es Salaam

  Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiwasili kutoa heshima zao za mwisho na kuuaga mwili wa marehemu Jackson Makwetta ...

  Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiwasili kutoa heshima zao za mwisho na kuuaga mwili wa marehemu Jackson Makwetta ambaye kabla ya kufariki kwake juzi alipata kuwa Mbunge na waziri katika wizara mbalimbali
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka sahihi kwenye kitabu cha maomboleza alipofika kutoa heshima zake za mwisho na kuuaga mwili wa marehemu Jackson Makwetta ambaye kabla ya kufariki kwake juzi alipata kuwa Mbunge na waziri katika wizara mbalimbali
  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimfariji mjane wa marehemu baada ya  akitoa heshima zake za mwisho na kuuaga mwili wa marehemu Jackson Makwetta ambaye kabla ya kufariki kwake juzi alipata kuwa Mbunge na waziri katika wizara mbalimbali
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa heshima zake za mwisho na kuuaga mwili wa marehemu Jackson Makwetta ambaye kabla ya kufariki kwake juzi alipata kuwa Mbunge na waziri katika wizara mbalimbali. Hapa ni nyumbani kwa marehemu Makweta Bunju.
  Makamu wa Rais Dkt Ghalib Mohamed Bilali akitoa heshima zake za mwisho na kuuaga mwili wa marehemu Jackson Makwetta ambaye kabla ya kufariki kwake juzi alipata kuwa Mbunge na waziri katika wizara mbalimbali
 Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda  akitoa heshima zake za mwisho na kuuaga mwili wa marehemu Jackson Makwetta ambaye kabla ya kufariki kwake juzi alipata kuwa Mbunge na waziri katika wizara mbalimbali 
 Waziri Mkuu Mstaafu Mhe Cleopa David Msuya akitoa heshima zake za mwisho na kuuaga mwili wa marehemu Jackson Makwetta ambaye kabla ya kufariki kwake juzi alipata kuwa Mbunge na waziri katika wizara mbalimbali
 Spika wa Bunge Mhe Anne Makinda akitoa heshima zake za mwisho na kuuaga mwili wa marehemu Jackson Makwetta ambaye kabla ya kufariki kwake juzi alipata kuwa Mbunge na waziri katika wizara mbalimbali
Waziri William Lukuvi  akitoa heshima zake za mwisho na kuuaga mwili wa marehemu Jackson Makwetta ambaye kabla ya kufariki kwake juzi alipata kuwa Mbunge na waziri katika wizara mbalimbali
Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Mhe Philip Mangula akitoa heshima zake za mwisho na kuuaga mwili wa marehemu Jackson Makwetta ambaye kabla ya kufariki kwake juzi alipata kuwa Mbunge na waziri katika wizara mbalimbali
Mke wa Rais Mama Salma akiwafariji wana familia wa marehemu Jackson Makwetta ambaye kabla ya kufariki kwake juzi alipata kuwa Mbunge na waziri katika wizara mbalimbali.Picha na IKULU

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: IKULU:Rais Jakaya Kikwete,Makamu wa Rais Dk Gharib Bilal,Waziri Mkuu Mizengo Pinda Waongoza Waombolezaji Kuaga Mwili wa Hayati Jackson Makwetta Jijini Dar es Salaam
IKULU:Rais Jakaya Kikwete,Makamu wa Rais Dk Gharib Bilal,Waziri Mkuu Mizengo Pinda Waongoza Waombolezaji Kuaga Mwili wa Hayati Jackson Makwetta Jijini Dar es Salaam
http://2.bp.blogspot.com/-IpmOXiTU7bI/UKqQWYwgeSI/AAAAAAAB57U/tPXTDlu85es/s640/mak1.jpg
http://2.bp.blogspot.com/-IpmOXiTU7bI/UKqQWYwgeSI/AAAAAAAB57U/tPXTDlu85es/s72-c/mak1.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2012/11/ikulurais-jakaya-kikwetemakamu-wa-rais.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2012/11/ikulurais-jakaya-kikwetemakamu-wa-rais.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago