H@ki Ngowi: TBL YAANZA KUTUMIA NEMBO YA MISTARI YA BIDHAA (BARCODES) H@ki Ngowi: TBL YAANZA KUTUMIA NEMBO YA MISTARI YA BIDHAA (BARCODES)
Kilindo (kushoto) akipongezwa na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Sekta Binafsi (TPSF), Godfey Simbeye
Mkurugenzi wa Uhusiano na Mawasiliano wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Steve Kilindo akizungumza wakati wa hafla hiyo
Mkurugenzi wa Uhusiano wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Steve Kilindo (kushoto), akipokea mfano wa nembo ya mistari kwenye bidhaa ya Tanzania (BARCODES) kutoka kwa Mkurugenzi wa Uhamasishaji Bidhaa wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Odilo Majengo Kaimu katika uzinduzi wa nembo hizo, Dar es Salaam. TBL ni moja ya kampuni kubwa nchini itakayoanza kutumia nembo hizo za Tanzania zinazotengenezwa na kampuni ya GSI Tanzania National Limited.
Mgeni rasmi Majengo (katikati waliokaa) akiwa katika picha ya pamoja na watu mbalimbali walioalikwa katika hafla hiyo

0 comments:

Clouds FM Live

Follow by Email

Blog Archive

Popular Posts

MATANGAZO

Followers

How to make a Website