H@ki Ngowi: Rais wa Zanzibar Dk Ali Shein Ashiriki Maulidi Kisiwa Cha Tumbatu H@ki Ngowi: Rais wa Zanzibar Dk Ali Shein Ashiriki Maulidi Kisiwa Cha Tumbatu
 Rais wa Zanzibar Dk, Ali Mohd Shein akisalimiana na Masheikh na waheshimiwa mbalimbali alipohudhuria katika Kisiwa cha Tumbatu  Zanzibar kwa ajili ya kuzindua Maulidi makubwa ya Kusherehekea kuzaliwa Mtume Muhammad (SAW).
 Sheikh Othman Maalim akitoa mawaidha katika Uzinduzi wa Maulid makubwa ya kusherekea kuzaliwa Mtume Muhammad (SAW)katika kisiwa cha Tumbatu Zanzibar.
Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohd Shein akiwahutubia Waislamu na wananchi mbalimbali waliohudhuria katika Msikiti mkuu wa Tumbatu Zanzibar  alipozinduwa Maulidi makubwa yanayofanyika kila mwaka kisiwani humo.
 Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohd Shein watatu kutoka kushoto akiwa pamoja na Masheikh na Viongozi mbalimbali waliohudhuria Uzinduzi wa Maulid makubwa ya kusherekea kuzaliwa Mtume Muhammad (SAW)katika kisiwa cha Tumbatu Zanzibar.Picha na Yussuf Simai Maeezo-Zanzibar

0 comments:

Clouds FM Live

Follow by Email

Blog Archive

Popular Posts

MATANGAZO

Followers

How to make a Website