H@ki Ngowi: Rais Jakaya Kikwete Amjulia Hali Mkuu wa Majeshi Mstaafu Jenerali Ernest Mwita Kyaro ,Akutana na Wamachinga Mkoani Mwanza Na Kuwapiga Tafu Shilingi Millioni Kumi H@ki Ngowi: Rais Jakaya Kikwete Amjulia Hali Mkuu wa Majeshi Mstaafu Jenerali Ernest Mwita Kyaro ,Akutana na Wamachinga Mkoani Mwanza Na Kuwapiga Tafu Shilingi Millioni Kumi
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe mama Salma Kikwete wakimjulia hali Mkuu wa Majeshi Mstaafu Jenerali (mst)  Ernest Mwita Kyaro jijini Mwanza asubuhi ya leo Jauary 6, 2012. Jenerali mstaafu Kyaro, ambaye alikuwa mkuu wa majeshi katika serikali ya awamu ya kwanza, amefurahi na kumshukuru sana Rais Kikwete na mkewe kwa kutembelea
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na wawakilishi wa kundi moja la wachuuzi (machinga) wa jijini Mwanza ambao leo January 6, 2012 walikwenda Ikulundogo ya jiji hilo na kumweleza changamoto zinazowakabiri, ikiwa ni pamoja na ukosefu wa mitaji pamoja na taaluma ya kufanyia biashara. Rais Kikwete ametoa milioni 10 kwa ajili yawamachinga hao kukopeshana mitaji.Picha na IKULU

0 comments:

Clouds FM Live

Follow by Email

Blog Archive

Popular Posts

MATANGAZO

Followers

How to make a Website