Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki(EAC)Dk Richard Sezibera(kushoto)akimsindikiza Balozi mpya wa Tanzania nchini Ubelgiji,Dk Diodorus Kamala(kulia)aliyemtembelea na kumuaga,Dk Kamala amewahi kuwa Waziri wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wa Tanzania.Picha na Fibert Rweyemamu
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki(EAC)Dk Richard Sezibera(kulia) akiagana na Balozi mpya wa Tanzania nchini Ubelgiji,Dk Diodorus Kamala(kushoto)aliyemtembelea ili kumuaga,Dk Kamala amewahi kuwa Waziri wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wa Tanzania.Picha na Flbert Rweyemamu
Balozi mpya wa Tanzania nchini Ubelgiji,Dk.Diodorus Kamala(kushoto)akiongea na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki(EAC)Dk Richard Sezibera alipoenda kumuaga,Dk Kamala alikuwa Waziri wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wa Tanzania.Picha na Filbert Rweyemamu

