Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

Sauti za Busara 2011 Zanzibar Yaiva

 Bi Kidude-Tanzania   Blick Bassy (Cameroon)  SaudaSimba Kilumanga (Tanzania)  Tamasha la muziki kubwa pengine kuliko yote kanda ya Afrika ...

 Bi Kidude-Tanzania
Blick Bassy (Cameroon)
 SaudaSimba Kilumanga (Tanzania)

 Tamasha la muziki kubwa pengine kuliko yote kanda ya Afrika Mashariki na Kati, Tamasha la Busara, lipo tayari kwa mtibwiriko wiki tano zijazo.

Wakiongea na lukwangule mchana huu mtu anayeshughulikia masuala ya waandishi wa habari bro Rico alisema watafanya mkutano na waandishi wa habari Januri 25 saa tatu asubuhi katika iliyokuwa Holiday Inn ambayo kwa sasa inaitwa Southern Sun.

Mkutano huo wa waandishi wa habari utakuwa ni ufunguzi wa tamasha hilo ambalo kwa sasa lina wigo mpana zaidi."Tupo gado, umeona newsletter yetu" alisema Rico akimaananisha kwamba kila kitu kiko katika njia moja na alichohimiza ni wandishi wa habari kuhakikisha kwamba wanajisajili mapema na kesho ikiwa siku ya mwisho.

Tamasha la muziki la Sauti za Busara, hufanyika katikati ya mji wa kihistoria Ngome Kongwe(stone Town) Zanzibar na huonyesha muziki wa aina tofauti wa Africa kwa wasanii zaidi ya mia nne wanaoshiriki kwa siku tano.

Kila mwaka wakati wa tamasha kuta kongwe za Mambo club hurindima kila watu wanapozidi kuongezeka na muziki kupaa angani. Hili ni tamasha la nane la Sauti za Busara na litafanyika kuanzia tarehe 9 mpaka 13 mwezi wa Februari 2011.

Tamasha hili kwa kawaida huwa na vionjo, na matukio ya kuburudisha ya hapa na pale mjini na visiwani kote kama vile maandamano ya ufunguzi.

Kutoka Jumatano hadi Jumapili vikundi visivyopungua arobaini hufanya maonyesho laivu kwenye jukwaa kila siku. Majina makubwa hushuka jukwaani pamoja na wasanii chipukizi.

Kuna kiasi cha vikundi 30 hapa Zanzibar, Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla, na vikundi kumi kutoka nje ya Afrika mashariki vikiwakilisha nchi za Ethiopia, Msumbiji, Zimbabwe, Zambia, Afrika kusini, La Renioun, Madagaska, Maurishaz, Ghana, Mali na Senegal.

Muziki wa aina zote hufanywa laivu, shoo huanza saa 11 jioni na kuendelea bila kusita ikimalizia kundi la mwisho usiku mnene. Kwa wale wenyeji kiingilio ni bure mpaka saa 12 jioni, baada ya hapo kiingilio ni kiasi ya yuro moja (2000 TSh).

Sauti za Busara ni tamasha linalo fanyika kila mwaka hapa Afrika ya mashariki na limekuwa lijulikana kama “Tamasha rafiki zaidi duniani”.


Kuna jumla ya wanamuziki 400 katika vikundi 40, ishirini vikitoka hapa hapa Tanzania, na ishirini kutoka sehemu nyingine za Afrika. Vikundi vya mijini, mashamba, vikundi vinavyotumia vyombo vya umeme, vilivyoanzishwa na vikundi chipukizi.

Mambo ya ndani

Maandamano ya Ufunguzi : Maandamano yatapita barabara kuu katika siku ya ufunguzi, ikiwemo ngoma ya beni, ngoma za kienyeji, kikundi cha wanawake cha mwanandege, sarakasi, na viburudisho vingi vya kushangaza. Angalia Maandamano ya Ufunguzi.

Swahili Encounters : Siku nne ambazo wasanii hushirikiana, wenyeji walioalikwa, wanamuziki wanaotembelea tamasha hupata muda wa kuzitafsiri nyimbo za kiswahili na kuziwasilisha jukwaani. Angalia Swahili Encounters.

Semina za Mafunzo : Kuwajenga wasanii, viongozi, waandishi wa habari, watengeneza filamu, na mafundi wa vipaza sauti na taa kuwa na ujuzi endelevu kutoka hapa Afrika ya mashariki.
Waanzilishi wa Sanaa : Makongamano ya kila siku yanayowakutanisha wataalamu wa sanaa wa hapa nyambani na wakigeni.

Filamu za Muziki wa Kiafrika : Filamu za muziki za kumbukumbu, filamu ndogo ndogo za muziki, video, na filamu za burudani za laivu. Biashara wakati wa Tamasha : Vinywaji na vywakula vya kienyeji, cd za muziki, mapambo ya dhahabu, nguo, na mengi mengineyo hupatikana ndani ya ukumbi wa tamasha. Fungua fomu ya maombi ya vibanda vya biashara ndani ya ukumbi wa tamasha.

Busara Xtra : Wakati wa tamasha Kisiwa cha Zanzibar hurindima na matukio tofauti. Ngoma za kienyeji, ngoma za kudensi, shoo za kiana, mashindano ya ngalawa, viburudisho vya baada ya pati, na burudani za taarabu asilia hupangwa na wenyeji. Angalia Busara Xtra. 
-----

2011 Artists Line Up

For five days during 9 - 13 February the main stage in Zanzibar’s Old Fort showcases live performances with around forty of the finest music groups from East Africa and beyond, including:

Orchestre Poly Rythmo de Cotonou (Benin)  Blick Bassy (Cameroon)  Otentikk Street Brothers (Mauritius)  African Stars Band (aka Twanga Pepeta) (Tanzania)  Mlimani Park Orchestra (Tanzania)  Kwani Experience (South Africa)  Culture Musical Club (Zanzibar)  Bi Kidude (Zanzibar)  Jagwa Music (Tanzania)  Mohamed Ilyas & Nyota Zameremeta (Zanzibar)  Bismillahi Gargar (Kenya)  Maulidi ya Homu ya Mtendeni (Zanzibar)  Djeli Moussa Diawara (Guinea)  Christine Salem (Reunion)  Yaaba Funk (UK)  Muthoni The Drummer Queen (Kenya)  Jahazi Modern Taarab (Tanzania)  Sinachuki Kidumbak (Zanzibar)  Les Frères Sissoko (Senegal)  Sousou & Maher Cissoko (Senegal / Sweden)  Sukiafrica Sukiyaki Allstars (Pan Africa / Far East)  Groove Lélé (Reunion)  Vusa Mkhaya & Band (Zimbabwe / Various)  Djaaka (Mozambique)  Nomakanjani Arts (Zambia)  Percussion Discussion Afrika (Uganda)  Tunaweza Band (Tanzania)  Staff Band Namasabo (Tanzania)  Swahili Encounters Group (Zanzibar / Various)  NEWS Quartet (Mauritania / Various)  Lelelele Africa (Kenya)  Atemi & the Ma3 Band (Kenya)  Black Roots (Zanzibar)  Sauda (Tanzania)  Wanyambukwa Artist Group (Tanzania)  Nyota Kali Band (Tanzania)  Cross Border (Zanzibar)  and more.
From Wednesday through till Sunday, around eight groups perform each day. Big names rub shoulders with upcoming artists. Thirty of the best music groups of Zanzibar, Tanzania and East Africa shares the stage with another dozen groups representing Mozambique, South Africa, La Réunion, Mauritius, Cameroon, Benin, Guinea Conakry and Senegal.
All music on the main stage is performed live. Shows start at 5:00pm, continuing virtually non-stop,  with the final band taking to the stage around midnight. For local people, admission is free until 6:00pm, thereafter around €1 (one euro), see Tickets and Prices. More than 5,000 attend each day, with 75% people from the region and others from all over Africa, Asia, Europe and beyond.

Sauti za Busara is the THE East African music event and widely known as ‘the friendliest festival on the planet’.

More Info

Busara Promotions
PO Box 3635
Stone Town
Zanzibar, Tanzania
Find us on the airport road, opposite Golf Club 
busara@busara.or.tz
Tel: +255 24 223 2423
or +255 773 822 294

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: Sauti za Busara 2011 Zanzibar Yaiva
Sauti za Busara 2011 Zanzibar Yaiva
http://3.bp.blogspot.com/_stxylFr6jLM/TSWmD1rOCwI/AAAAAAAA5CE/W9hKqo5T9i8/s640/Bi_Kidude_best_by_Bob_Sanko.jpg
http://3.bp.blogspot.com/_stxylFr6jLM/TSWmD1rOCwI/AAAAAAAA5CE/W9hKqo5T9i8/s72-c/Bi_Kidude_best_by_Bob_Sanko.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2011/01/sauti-za-busara-2011-zanzibar-yaiva.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2011/01/sauti-za-busara-2011-zanzibar-yaiva.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago